Wednesday 23 May 2018

CAUSES OF HEART ATTACK



The following factors are associated with increased risk of a heart attack:
  • Age (Umri): Heart attacks are more likely when a man is over 45, and when a woman is over 55.
  • (Umri):Magonjwa ya moyo mara nyingi huwakumba wanaume kuanzia miaka 45 na wanawake miake 55.
  • Angina: This causes chest pain due to lack of oxygen or blood supply to the heart.
  • (Angina):Haya ni maumivu ambayo huyapata kifuani na misuli ya moyo kukosa kiasi cha damu yenye oxygen.
  • High cholesterol levels (Kuzidi kwa kiasi cha Cholestelo mwilini): These can increase the chance of blood clots in the arteries.
  • (Kuzidi kwa kiasi cha Cholestelo mwilini): Hii uongeza uwezekano wa damu kugandia ndani ya vishipa vya damu.
  • Diabetes (Kisukari): This can increase heart attack risk.
  • (Kisukari):Ugonjwa wa kisukari uongeza uwezekano wa kuumwa ugonjwa wa moyo.
  • Diet (Mlo/Ulaji): For example, consuming large quantities of saturated fats can increase the likelihood of a heart attack.
  • (Mlo/Ulaji): Mfano utumiaji zaidi wa vyakula vilivyolowekwa kwa muda mrefu/vilivyokobolewa huweza kusababisha magonjwa ya moyo
  • Genetics (Vinasaba): A person can inherit a higher risk of heart attack.
  • Heart surgery (Upasuaji wa moyo): This can lead to a heart attack later on.
  • (Upasuaji wa moyo):Huwa na kawaida ya kusababisha matatizo ya moyo kwa siku za baadae.
  • Hypertension (Shinikizo la juu la damu): High blood pressure can put unnecessary strain on the heart.
  • (Shinikizo la juu la damu):Husababisha moyo kufanya kazi zaidi ya uwezo wake wa kawaida.
  • Obesity (Uzito Uliopindukia): Being significantly overweight can put pressure on the heart.
  • (Uzito Uliopindukia): Huongeza shinikizo katika Moyo.
  • Previous heart attack. (Historia ya kuwahi kuumwa ugonjwa wa moyo)
  • Smoking (Uvutaji Sigara): Smokers are at much higher risk than non-smokers.
  • (Uvutaji Sigara):Wavutaji sigara wanauwezekano mkubwa wa kuumwa ugonjwa wa moyo kulikoni wasiovuta sigara.
  • HIV (Ukimwi): People who are HIV-positive have a 50 percent higher risk.
  • Work stress (Msongo Kazini): Those who are shift workers or have stressful jobs can face a higher heart attack risk.
  • (Msongo Kazini): Watu wanaofanya kazi zenye msongo mkubwa huwa wanauwezekana mkubwa wa kupata ugonjwa wa moyo.
Physical inactivity is a factor in heart attack risk, and the more active people are, the lower their risk of having a heart attack.
Kukaa kaa pasipo kuutumikisha mwili nako husababisha uwezekano mkubwa wa kupata magonjwa ya moyo.